#66 Maswali yaku uliza unapo tazama nyumba unayo taka kodi

LE_Renting_66_canva.png

Get the SBS Audio app

Other ways to listen

Jifunze jinsi yaku uliza maswali, unapo tazama nyumba unayo tarajia ku kodi.


Kuelewa nakuzungumza Kiingereza kunaweza kusaidia kuboresha maisha yako nchini Australia.

Makala haya yata kusaidia kufanya mazoezi yakuzungumza na utaboresha ujuzi wako wa lugha ya Kiingereza, kujifunza kuhusu Australia katika hali changamfu.

Bonyeza hapo juu kwa makala kamili.

Share